Head image
Govt. Logo

Hits 120702 |  2 online

           


Waziri wa nchi Ofisi wa Makamu wa Kwanza wa Rais amefanya uteuzi wa wajumbe wa Baraza la Taifa la Watu wenye Ulemavu kwa kipindi cha miaka mitatu
news phpto

Waziri wa nchi Ofisi wa Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Dkt Saada Mkuya Salum amefanya uteuzi wa wajumbe wa Baraza la Taifa la Watu wenye Ulemavu kwa kipindi cha miaka mitatu 2021 – 2023

Waziri wa nchi Ofisi wa Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe Dkt Saada Mkuya Salum amefanya uteuzi wa wajumbe wa Baraza la Taifa la Watu wenye Ulemavu kwa kipindi cha miaka mitatu 2021 – 2023

“Kwa mujibu wa Sheria ya Watu wenye Ulemavu (Haki na Fursa) Namba 9 ya Mwaka 2006, Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Baraza la Taifa la Watu Wenye Ulemavu”

Nd. Mohammed Abdallah Mohammed – kutoka Jumuiya ya Watu wenye Ualbino Zanzibar (JMZ).

Nd. Nassor Suleiman Nassor kutoka Umoja wa Watu wenye Ulemavu Zanzibar (UWZ).

Nd. Afwa Nassor Hassan – kutoka Chama Cha Viziwi Zanzibar (CHAVIZA).

Nd. Fatma Djaa Chesa – kutoka Jumuiya ya Watu Wasioona Zanzibar (ZANAB).

Nd. Hidaya Mjaka Ali – kutoka Jumuiya ya Wanawake wenye Ulemavu Zanzibar (JUWAUZA).

Nd. Haroub Soud Mzee – kutoka Kituo cha Watu wenye Ulemavu na Maendeleo Jumuishi Zanzibar (ZACEDID).

Nd. Mohamed Najim Omar – kutoka Jumuiya cha Waajiri Zanzibar (ZANEMA).

Nd. Sharifa Mohamed Salum – kutoka Chama cha Wafanyakazi Zanzibar (ZATUC).

Uteuzi huu unafuatia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kumteuwa Nd. Salma Saadati Haji kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Watu wenye Ulemavu na tarehe 18 Agosti, 2021.

Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Watu wenye Ulemavu, unaanza tarehe 01 Oktoba, 2021.

Huduma za Tehama

Barua Pepe

Sisi

Mwanzo Kuhusu Sisi Idara Zetu

Viunga Muhimu

ZEMA ZAC DDA IKULU

Mawasiliano

Ofisi Kuu
S.L.P 2808, Migombani, Zanzibar
Tel.: +255(24)2232474 Mhe WaziriTel.: +255 (24)2232475 Katibu Mkuu,
Fax: +255 (24)2232476
Email: info@omkr.go.tz