Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar inatoa pongezi za dhati kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani.