Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akimkabidhi Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akimkabidhi Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Dkt Saada Mkuya Salum Anwani ya Makazi ya Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar kwa niaba ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar katika kikao kazi cha watendaji wa taasisi za Serikali kuhusu Sensa na Anwani za makazi kilichofanyika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni