Head image
Govt. Logo

Hits 120680 |  2 online

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, amekutana na Uongozi wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar.
news phpto

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, amekutana na Uongozi wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar, kwaajili ya kuanza kusimamia utekelezaji wa shughuli za Taasisi hiyo, kwa Mwaka wa Fedha wa 2022/ 2023.

Kikao hicho ambacho ni muendelezo wa Mhe. Othman, kukutana na Taasisi zilizopo chini ya Ofisi yake, kimefanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza Migombani - Zanzibar, na kuwahusisha pia Viongozi na Watendaji mbali mbali ambao ni pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza Mhe. Harusi Said Suleiman, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza, Dkt. Omar Dadi Shajak na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar Kanal Burhani Zubeir Nassor.

Huduma za Tehama

Barua Pepe

Sisi

Mwanzo Kuhusu Sisi Idara Zetu

Viunga Muhimu

ZEMA ZAC DDA IKULU

Mawasiliano

Ofisi Kuu
S.L.P 2808, Migombani, Zanzibar
Tel.: +255(24)2232474 Mhe WaziriTel.: +255 (24)2232475 Katibu Mkuu,
Fax: +255 (24)2232476
Email: info@omkr.go.tz