Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dkt Omar D. Shajak akiwakaribisha Mawaziri, Makatibu Wakuu, na Watendaji wa Taasisi zinazosimamia Rasilimali ya Matofali ya Mawe na Mchanga.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dkt Omar D. Shajak akiwakaribisha Mawaziri, Makatibu Wakuu, na Watendaji wa Taasisi zinazosimamia Rasilimali ya Matofali ya Mawe na Mchanga, kuhusu kupata Njia bora za Matumizi na Uhifadhi wake. Kikao hicho kimeongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe.Othman Masoud Othman
Aidha kikao hicho kimewahusisha pia Wakuu wa Mikoa ya Unguja na Pemba.