Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, akiweka shada la mauwa wakati aliposhiriki shughuli ya mazishi ya aliekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania awamu ya tano marehemu Dkt. John Pombe Magufuli Mazishi hayo yalifanyika Wilayani Chato Mkoa wa Geita.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, akiweka shada la mauwa wakati aliposhiriki shughuli ya mazishi ya aliekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania awamu ya tano marehemu Dkt. John Pombe Magufuli
Mazishi hayo yalifanyika Wilayani Chato Mkoa wa Geita.