Mafunzo maalum ya Maadili ya Utumishi wa Umma na Usalama Kazini.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Harusi Said Suleiman akizungumza na watendaji na wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais kwenye Mafunzo maalum ya Maadili ya Utumishi wa Umma na Usalama Kazini, kwa Watendaji yaliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil, Kikwajuni Mkoa wa Mjini-Magharibi, Unguja.