- WAZIRI HARUSI AUNGANA NA KAMATI YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZIARA YA EBARR MOROGORO.
- ZANZIBAR HAIZALISHI DAWA ZA KULEVYA ZINAINGIZWA__WAZIRI HARUSI
- TUNAHAMU KUBWA YA KUWAKAMATA MAPAPA__WAZIRI HARUSI
- TUONGEZE JUHUDI ZA UTUNZAJI SALAMA WA TAKATAKA BAHARI__WAZIRI HARUSI
- TULINDE MAZINGIRA NA TUACHANE NA UHARIBIFU
- MAADHIMISHO YA SIKU YA WATU WENYE ULEMAVU DUNIANI
- SIKU YA UKIMWI DUNIANI
- MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI
- USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MABADILIKO YA TABIANCHI (COP 28)
- WATU WENYE ULEMAVU WAPEWA VISAIDIZI
- DKT SHAJAK ATEMBELEA MRADI WA EBARR DODOMA.
- SERA YA MAZINGIRA NI MAISHA YA KILA MTU
- UGAWAJI WA VIFAA VISAIDIZI KWA WATU WENYE ULEMAVU.
- RIPOTI YA KAMATI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA KWA OFISI YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS, ZANZIBAR.
- MKATABA NA KAMPUNI YA GREEN ECONOMIC PARTNERSHIP YA DUBAI.
- DKT SHAJAK ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WAMIRADI YA MAENDELEO.
- Mafunzo maalum ya Maadili ya Utumishi wa Umma na Usalama Kazini.
- SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar(SMZ) imepitisha sheria ya watu wenye ulemavu pamoja na kuunda mabaraza ya wilaya.
- Mazungumzo ya ushirikiano kuhusu kushughulikia Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira Zanzibar.
- Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Dkt Omar D. Shajak akiwakaribisha Mawaziri, Makatibu Wakuu, na Watendaji wa Taasisi zinazosimamia Rasilimali ya Matofali ya Mawe na Mchanga.
- Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, Agosti 24, 2022, amekutana na Uongozi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira pamoja na Idara ya Mazingira Zanzibar
- Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, amekutana na Uongozi wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar.
- Watu wenye ulemavu kisiwani Pemba wametakiwa kushiriki kikamilifu katika zoezi la kuhesabu watu na makaazi ‘Sensa’ linalotajiwa kuanza Agosti 23
- Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi yaridhishwa na maendeleo ya Miradi ya Uviko 19 inayosimamiwa na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais
- Zanzibar Kupinga Matumizi ya Biashara Haramu ya Dawa za Kulevya
- Waziri Harusi ateta na wafanyakazi
- Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amewakumbusha wananchi kuwa suala la usafi wa mazingira halihitaji kutengewa siku maalum bali ni wajibu wa kila siku
- Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeanzisha kituo cha Tiba na Marekebisho ya tabia ili kuwarudisha waraibu katika hali ya kawaida.
- Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amewaomba Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuichangia hotuba ya bajeti, kushauri ipasavyo na hatimae waiidhinishe bajet hiyo
- Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Harusi Said Suleiman amewaomba Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuichangia hotuba ya bajeti.
- Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amewataka watendaji wa ofisi hiyo kujitathmini na kujipanga upya katika utekelezaji wa majukumu yao ya kazi
- Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais awataka watendaji na wafanyakazi wa Ofisi yake kuunga mkono jitihada za Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz
- Kituo cha Tiba na Marekebisho ya tabia kilichopo Kidimni kinatarajiwa kuwa ni kitovu cha malezi ya vijana walioathirika na matumizi ya Dawa za Kulevya
- Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amesema lengo la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ni kutoa fursa na haki kwa Watu wenye Ulemavu
- Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amesema kuwa mashirikiano ya pamoja yanaleta maelewano katika sehemu ya kazi
- Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amesema lengo la Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ni kutoa fursa na haki kwa Watu wenye Ulemavu na kuhakikisha kunakuwa na maendeleo jumuishi
- TUNATHAMINI JUHUDI ZA WATU WA CHINA KATIKA KUSAIDIA MAENDELEO ZANZIBAR- MHE. OTHMAN
- Dkt Omar Shajak - Mtumishi yoyote wa Umma anaeajiriwa lazima afahamu kuwa ipo na siku ya kustaafu
- Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Viwanda, Biashara na Mazingira ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema wajibu wa bunge ni kushauri Serikali
- WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango amewataka Watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais kuendelea kuwa wabunifu ili kwenda sambamba na maono ya Serikali ya awamu ya nane
- Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akimkabidhi Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Anwani ya Makazi ya Ofisi
- Kuanzishwa kwa mamlaka ya udhibiti na kupambana na dawa za kulevya Zanzibar kutaongeza kasi ya mapamano dhidi ya dawa za kulevya hapa nchini.
- Mhe Dkt Saada Mkuya awataka wananchi kutumia vyema rasilimali za kimazingira zinazowazunguka kwa kutunza na kuhifadhi mazingira ili ziweze kuwasaidia kujiinua kiuchumi
- Dkt Saada Mkuya amesema ujenzi wa Ukuta wa mawe katika fukwe ya mwambao wa eneo la Msuka una lengo la kudhibiti athari za mmongonyoko wa fukwe hio
- Sheria mpya ya Watu wenye Ulemavu inayokuja itahakikisha kuna kipengele kinacholazimisha kuchukuliwa hatua za kisheria kwa mtu yeyote atakaemficha mtoto au mtu mwenye ulemavu
- Dkt Saada Mkuya Salum amewahimiza wananchi na wakulima wa Shehia ya Kiongoni na Mjananza wanasimamia wenyewe mradi wa kujenga tuta
- Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amesema mara baada ya Mapinduzi, tarehe 23/9/1964 Serikali ya ilitangaza elimu bila malipo kwa wazanzibari wote
- Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais akizungumza na waandishi wa habari katika kuelekea shamra shamra za sherehe za miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar
- Waziri wa Nchi ofisi ya Mkamu wa Kwanza wa Rais akiwasilisha Mswada wa Sheria ya kuanzisha Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya
- Dkt Saada Mkuya Salum ameishauri Kamati ya utekelezaji wa mkakati wa kuandaa mpango kazi wa kitaifa kutoka Taasisi ya Mwalim Nyerere
- Dk.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia utiaji wa Saini ya Makubaliano ya kupambana na Dawa za kulevya na Uhalifu Zanzibar
- Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar amesema UKIMWI upo na ni tishio kwa ustawi wa maisha ya watu na maendeleo ya nchi.
- Watu wenye Ulemavu wana haki ya kushirikishwa katika nyanja zote za kiuchumi kama raia wengine
- Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar inatoa pongezi za dhati kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa kutimiza mwaka mmoja madarakani.
- ELIMU YA MAZINGIRA BADO INAHITAJIKA KUINUSURU ZANZIBAR.
- SERIKALI KUFANYA MAGEUZI YA SERA KUSAIDIA UTUNZAJI WA MAZINGIRA.
- TUNZENI MAZINGIRA KUIENZI ZANZIBAR
- Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amehimiza mashirikiano katika kutekeleza majukumu ya kazi
- Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amezishauri taasisi za Serikali na binafsi zinazotoa huduma kwa jamii kutoa kipaumbele kwa Watu wenye mazingira maalum
- Waziri wa nchi Ofisi wa Makamu wa Kwanza wa Rais amefanya uteuzi wa wajumbe wa Baraza la Taifa la Watu wenye Ulemavu kwa kipindi cha miaka mitatu
- Watendaji na wafanyakazi wa Tume ya Kitaifa Kuratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya wametakiwa kudumisha nidhamu katika maeneo yao ya kazi na kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kwa ufanisi
- Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amelishukuru shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu duniani UNFPA kwa juhudi inazozichukuwa katika kusaidia Watu wenye Ulemavu
- Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais ameitaka Tume ya UKIMWI Zanzibar kukabiliana vyema na mazingira ya sasa dhidi ya maambukizi ya UKIMW
- Maafisa Tehama na wakuu wa vitengo wametakiwa kuwa wabunifu na kushirikiana katika majukumu yao ya kazi ili kuendana na kasi ya iliyopo ya ukuwaji wa teknologia ulimwenguni
- Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Dkt Omar D Shajak amemkabidhi kiti cha magurudumu mawili chenye kutumia chaji (motor wheel chair)
- Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amewataka Maafisa Habari wa ofisi hio pamoja na taasisi zilizo chini yake kuwa wabunifu katika utendaji wao wa kazi
- Katibu kuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amesema uwepo wa sera na sheria zinazoendana kati ya Tanzania bara na Zanzibar ni fursa ya kuongeza ufanisi na kufikia malengo ya taasisi hizo
- Mapambano dhidi ya dawa za kulevya yanahitaji nguvu ya pamoja ili kuhakikisha nchi inashinda vita hio
- Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais ametoa wito kwa jamii na watendaji kushirikiana pamoja na Serikali
- Kamati ya Baraza la Wawakilishi inayosimamia ofisi za viongozi wakuu wa Kitaifa imetoa ushauri kwa Serikali kuhakikisha Kisiwa cha Mnemba kinalindwa
- Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais, amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kutekeleza vyema majukumu yao ili kufikia lengo lililokusudiwa
- Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema ni wakati wa serikali kushirikiana na nchi ya Msumbiji katika kuikuza sekta ya mafuta na gesi
- WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amewataka watendaji wa masuala ya mazingira na mabaraza ya miji kukaa pamoja na ....
- Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani.
- Kilele cha maadhimisho ya wiki ya kupinga matumizi ya Dawa za Kulevya ‘Sema Ukweli juu ya athari za Dawa za Kulevya Okoa Maisha ’
- Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amefanya ziara ya kutembelea Kambi ya Waanika madagaa iliyopo Mangapwani na
- Shughuli za kiwanda cha kusaga kokoto zasitishwa kwa muda.
- Makamu wa Kwanza wa Rais amesema ofisi yake itaendelea kuhamasisha utunzaji na uhifadhi wa mazingira
- Kaimu Mkurugenzi Idara ya Watu wenye Ulemavu ametowa wito kwa jamii kutoa mashirikiano na Idara ya Watu wenye Ulemavu
- SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema inatambua mchango unaotolewa na tasisi za dini hapa Zanzibar katika mapambano dhidi ya VVU na Ukimwi
- Dkt Saada amesema mwelekeo wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Taasisi zake ni kuwa sehemu ya ujenzi wa uchumi imara,
- Heshima, nidhamu na uzoefu umepelekea Tume ya Kitaifa ya Kuratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya kuonekana inatekeleza majukumu yake.
- Marekani yaimarisha mahusiano yake na Zanzibar - Makamu wa kwanza wa Rais
- MAKAMU wa Kwanza wa Rais amesema, mapambano dhidi ya dawa za kulevya yanahitaji nguvu ya pamoja ili kuhakikisha nchi inashinda vita hivyo.
- Makamu wa Kwanza wa Rais amewahimiza watendaji wa Ofisi yake kuwa na mashirikiano ya pamoja katika kutekeleza majukumu ya kazi zao ili kuwe na ufanisi mzuri wa kazi wanazozifanya
- MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, amesema pamoja na mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kudhibiti maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI hapa nchini, lakini hali ya maradhi hayo ni kubwa.
- Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amesema Ofisi yake itasimamia vyema majukumu yake ili kuhakikisha masuala yote mtambuka yanakuwa salama na hayaathiriwi
- Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais amefanya ziara ya kukitembelea Kituo cha Tiba na Marekebisho ya tabia kilichopo Kidimni Wilaya ya Kati Unguja.
- Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar akaiweka shade la mauwa.
- "HAYATI MAGUFULI AMEACHA ALAMA TANZANIA - MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR"
- Watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wametakiwa kuendeleza mashirikiano kiutendaji kwa lengo la kutekeleza vyema majukumu malengo na matarajio ya Serikali