Katibu mkuu ofisi ya makamo wa kwanza akiwa mgeni rasmi katika mechi ya
uwanja wa mau
January 1, 1970
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Bi. Maryam Juma Abdalla akishiriki akiwa Mgeni Rasmi katika mechi ya mpira wa miguu kati ya vijana wa Misry Fc vs Mazombi Fc iliyofanyika katika viwanja vya Maozedong, Unguja; tarehe 21 Juni,2025.
Hii ni muendelezo wa Shamrashamra katika wiki ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, ambapo kilele cha Siku hiyo ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya itafanyika tarehe 26 Juni, 2025 katika Hospitali ya wagonjwa wa Akili, Kidonge - chekundu, Mkoa wa Mjini Magharib Unguja.
Kaulimbiu ya mwaka huu; Wekeza kwenye Kinga na tiba dhidi ya dawa za kulevya.