Mh. Othman Massoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Kuhusu Othman Masoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya ZanzibarOthman Masoud Othman Sharrif, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (Ochu), ni Mzanzibari mahiri kwenye ulingo wa masuala ya sheria na mikakati.