Head image
Govt. Logo

Hits 120633 |  2 online

           

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR

                   Mheshimiwa
          Othman Masoud Othman
                
Habari & Matukio
 • MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA MATUMIZI NA BIASHARA HARAMU YA DAWA ZA KULEVYA TAREHE 27 JUNI, 2024(ZANZIBAR).

  Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kupitia sekta ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar inatarajia kuadhimisha Siku ya kupiga vita matumizi na usafirishaji wa Dawa ...Soma Zaidi...

 • TAARIFA YA MHESHIMIWA HARUSI SAID SULEIMAN, WAZIRI WA NCHI, OFISI YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI TAREHE 05 JUNI, 2024

  Ndugu wananchi,

  Awali ya yote nachukua fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu (Subhana Wataala) kwa ukarimu wake wa kuendelea kutupa uhai ambao umetuwezesha kutufikisha tena katika maadhimisho ya Siku ...Soma Zaidi...

 • MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI TAREHE 05 JUNI, 2024

  Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar kupitia sekta ya Mazingira (ZEMA na DOE) inatarajia kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani katika Wilaya ya Micheweni -Pemba, tarehe 05 Juni,2024 .Huu ni ...Soma Zaidi...

 • WAZIRI HARUSI AUNGANA NA KAMATI YA BARAZA LA WAWAKILISHI ZIARA YA EBARR MOROGORO.


  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Harusi Said Suleiman ameongozana na Kamati ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi inayoongozwa na mwenyekiti wake ...Soma Zaidi...

 • Habari Zaidi >>

Huduma za Tehama

Barua Pepe

Sisi

Mwanzo Kuhusu Sisi Idara Zetu

Viunga Muhimu

ZEMA ZAC DDA IKULU

Mawasiliano

Ofisi Kuu
S.L.P 2808, Migombani, Zanzibar
Tel.: +255(24)2232474 Mhe WaziriTel.: +255 (24)2232475 Katibu Mkuu,
Fax: +255 (24)2232476
Email: info@omkr.go.tz